RETURN TO ONLINE LIBRARY MAIN MENU

RESOLUTIONS GUIDING THE SUGAR CAMPAIGN FOR CHANGE

(Agreed upon on 3rd October, 2001)

 KISWAHILI VERSION

SHIRIKISHO LA MABADILIKO

 

HOJA LA MAKUBALIANO

 

1. Tunatambua ya Kwamba mashirika yote vya wakulima wa miwa, vina waakilisha wakuuzaji wa miwa na tunajitolea kuliunda kamati vya vijisehemu (zonal committees) ambavyo vita waakilishi wa kweli ya wakulima.

2. Baada ya kutambua unyonge na magawanyiko kati ya wakulima wa miwa, tumeamua kuhakikisha Unngamano kamili kati ya wakulima wote.

3. Tumekubaliana kuliunda shirika la mabadiliko la haki katika viwanda vya sukari.

4. Tuna tambua KESGA (Kenya Sugar Cane Growers Association) kama shirika kuu la wakulima na tumeamua kuliongeza nguvu kipawa chake ili kiwe mwakilishi sahihi ya wakulima.

5. Tume amua kuyafanya mafundisho ya kuleta fahamu katika mambo yanayo husu viwanda vya miwa.

6. Tume amua kueneza na kushauriana kuhusu sheria bora za ukulimo na haswa yale yanayo husiana na ukulimo wa miwa.

Kimekubaliwa Na Wahirika Wote

Mjadala Wa Sukari Ya Mabadilioko Bora

 

HUU NDIO WAKATI YA WAKULIMA KU UNGANA NA KUONEGEA KWA SAUTI MOJA

JE, UMEKUBALI KU UNGANA NAO?